Unajuaje nani wa kumuamini?
1,030,189 plays|
Ram Neta |
TED-Ed
• April 2013
Angalia somo lote hapa: http://ed.ted.com/lessons/how-do-you-know-whom-to-trust-ram-neta
Tunaamini vitu vingi kwa kuwa tumeambiwa kutoka kwa watu wa karibu mpaka kutoka kwa wataalamu .Tukiwa na mifumo mingi ya imani kiasi hiki ambayo inapitishwa kwetu tunajuaje nani hasa wa kumwamini? Akitumia mifano mbalimbali, Ram Neta anaeleza ni wakati gani kuwasikiliza wataalamu ni sawa na wakati ambapo si sawa.
Somo na Ram Neta, Michoro na Colleen Cox.