Jinha Lee: Fikia kompyuta na kamata pixeli
1,894,082 plays|
Jinha Lee |
TED2013
• February 2013
Mpaka kati ya dunia yetu halisi na taarifa za kidigitali umekuwa ukipungua siku zaidi na zaidi.Mbunifu na mhandisi Jinha Lee anataka kuviweka pamoja.Akionesha jinsi kalamu inayoweza penya katika kioo na kuchora michoro ya 3D na kompyuta ambayo inakufanya ufikie taarifa za kidigitali na kuzitumia kwa mikono yako.